Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Tunavyochukulia bei

Fikia vipengele vyenye nguvu bila ada za usajili

  • Mipango inayoweza kubadilishwa

    Weka masharti na manufaa kwa urahisi kulingana na siku, wakati, eneo na bajeti. Unaweza kuweka upendavyo kwa wafanyakazi au idara tofauti.

  • Utayarishaji wa gharama kiotomatiki

    Tunashirikiana na SAP Concur na watoa huduma wengine wa malipo ili kuwezesha malipo na hesabu za moja kwa moja, ili kuokoa muda wa kila mtu.

  • Chaguo rahisi za malipo

    Biashara yako inaweza kuchagua kulipa kwa kila safari au oda ya chakula, au kuomba bili ya kila mwezi. Hakuna ada za mapema au matumizi ya chini.

  • Namba maalum za gharama

    Okoa muda na usumbufu kwa kutumia namba maalum ya gharama inayohakikisha kuwa safari na vyakula vimewekwa kwa usahihi ili kuhesabu.

  • Malipo ya pamoja

    Una chaguo la kuwaruhusu wafanyakazi wako kutoza kadi moja ya benki ya kampuni. Huhitaji kurejesha pesa au idhini ya msimamizi.

  • Ripoti na takwimu

    Ripoti za kila mwezi zinakupa uwezo mkubwa wa kuchanganua gharama na matumizi, ili uweze kurekebisha sera na kuboresha faida zako.

1/6
1/3
1/2

Maswali yaulizwayo mara kwa mara

  • Tunashirikiana na Certify, Chrome River, Expensify, Expensya, Fraedom, Happyay, Rydoo, SAP Concur, Serko, Zeno na Zoho Expense.

  • Chaguo chaguomsingi la malipo ni Lipa kwa Safari. Bili ya Kila Mwezi inaweza kutolewa kwa mashirika yanayostahiki kulingana na historia yao ya malipo na matumizi.

    Ikiwa shirika lako linastahiki, utapokea arifa na pia utaona chaguo la Malipo ya Kila Mwezi likionekana chini ya kichupo cha Malipo.

    Ili kuangalia ustahiki wako au kujifunza zaidi, tafadhali wasiliana na business-support@uber.com.

  • Baada ya kuwasili unakoenda au kupokea chakula unacholetewa, ada utakayolipa itahesabiwa na kutozwa kwenye njia ya malipo ulioweka moja kwa moja.

  • Fungua App na uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha “Unaenda wapi?”. Utaona kadirio la bei kwa kila chaguo la usafari.

  • Katika miji mingi, nauli unayolipa huhesabiwa mapema, kabla ya kuthibitisha usafiri. Katika miji mingine, utaona makadirio ya kiwango cha bei.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili